ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 19, 2018

BIWI LA SIMANZI MWANAMKE AUAWA KIKATILI JIJINI MWANZA NA WATU WASIOJULIKANA


Mwanamke mmoja mkazi wa Kisoko Kata ya Luchelele wilayani Nyamagana mkoani Mwanza anayejulikana kwa jina la Anna Petro Titus (37) ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

Tukio hilo la kustusha limetokea ijumaa ya tarehe 13 majira ya saa 3usiku wakati mwanamke huyo akiwa na mwanaye nyumbani katika chumba chake kwenye himaya ya mama yake mzazi.

Kipi kilichotokea juu ya mauaji hayo FUATILIA SIMULIZI HII KWA VIDEO.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.