ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 26, 2016

MONGELA AFUNGUA RASMI KIJIJI CHA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA SOS MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akikata utepe wa jiwe la msingi kwa Kijiji cha watoto waishio katika mazingira magumu cha Shirika lisilo la kiserikali SOS, kituo kilichopo kata ya Mahina mkoani Mwanza. 
Mwenyekiti wa Bodi ya SOS Tanzania Mama Getrude Mongela akiwapungia mkono wadau waliojitokeza kwenye kusanyiko hilo la ufunguzi wa kituo mkoani Mwanza.
Amesema kijiji hicho kimegharimu Dola za Kimarekanimilioni 4.4. Kikiwa na nyumba 12 zenya uwezo wa kuhifadhi watoto 120, jengo lautawala, shule za chekechea na nyumba ya wageni. BOFYA PLAY KUSIKILIZA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela "Tusipoondoa umaskini kwa watoto nchi itatikisika" 
Mkurugenzi Mkuu wa Taifa wa SOS Childrens Villages Tanzania, Anatoli Rugayemukamu amesema kuwa mradi umehusisha ukarabati wa shue ya singi ya Igegeleo ili kuhakikisha watoto wote wanapata elimu bora ya msingi.
Wahisani.
Sala.
Sala.
Watoto wa kituo cha SOS Mahina Mwanza walisisimua na nyimbo zao zenye ujumbe.
Ngoma ya muziki asili ikichagiza.
Watoto wanapoliteka jukwaa.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akipokea zawadi ya heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya SOS Childrens Villages Tanzania, Mama Getrude Mongella kama heshima kwa ofisi yake katika kuchangia maendeleo ya wanaharakati wa maendeleo ndani ya mkoa wa Mwanza na Tanzania kwa ujumla kwani pia kwa mujibu wa historia Mhe. Mongela alishiriki kwenye uzinduzi wa SOS mkoa wa Arusha.
Tuzo ya Heshima kwa walezi ilienda kwa mama mlezi kituo cha SOS Zanzibar
Tuzo ya heshima.
Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 nao walihudhuria kusanyiko hilo.
Wadau:- Watumishi toka dini na madhehebu mbalimbali wamejumuika, nao wafanyabiashara hawako nyuma.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongera akishiriki upandaji miti eneo la kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania huku akipewa tafu na washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016. 
Mama Getrude Mongela akishiriki upandaji miti eneo la kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania huku akipewa tafu na washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 pamoja na watoto wa kituo.. 
Nyumba kituo cha SOS mkoani Mwanza. 
Nyumba kituo cha SOS Childrens Villages Tanzania tawi la Mwanza.
Humu kuna huduma zote muhimu.
Mwanahabari wa Blog Hii Zephania Mandia akitafuata angle ya muonekano kwa njia ya video.
Waalikwa walipata fursa ya kukagua mazingira.
Ndani ya vyumba.
Vitanda na mazingira ya ndani.
Jikoni kwa kila nyumba ambayo uhudumiwa na mama mmoja akiwa anapewa usaidizi na shangazi.
Koo pale linapochemka.......hapa ndipo kituoni.
Picha kwaajili ya kumbukumbu ya kusanyiko.
Rolf Rakken yu mmoj wa wafadhiri wakuu.
Mbele ya jiwe la msingi picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, Viongozi  pamoja na Wajumbe wa Bodi SOS.
SOS Childrens Village inafanya kazi katika nchi 134 na kusaidia maelfu ya watoto kupitia mpango wa malezi na kuimarisha familia na namna nyingine za kijamii. SOS imekuwako hapa nchini tangu 1991 na inavyo vijiji vinavyofanyakazi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.