African stars Entertainment Tanzania wanakuletea Bendi nzima ya Twanga Peteta ili iweze kufanya nao Makamuzi Live ndani ya Nchi ya Uingereza.Hii si yakukosa mazee kwani inatokea mara moja moja tuuuu!!! Safari hii ni Terehe 26.05.2011, Usikose mwanawane!!
Vodacom yazindua simujanja maalumu itakayosaidia wateja wenye ulemavu
-
Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa
Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu
wa kampun...
4 hours ago